URL:https://slideplayer.com/slide/16518974/96/images/9/Moja ya alama muhimu katika uwepo wa 144,000 ni kwamba katika vinywa vyao haikuonekana hila. Bwana amesema, Heri mtu yule...ambaye katika roho haikuonekana hila. Wanakiri kuwa watoto wa Mungu, na wanaonekana kuwa wakimfuata Mwana-kondoo kila aendako. Na wameonekana mbele yetu kama wemesima katika mlima Sayuni, wakiwa katika mfumo wa huduma takatifu, wamevikwa nguo nyeupe, ambayo ni haki ya watakatifu. Lakini wote watakaomfuata Mwana-kondoo mbinguni ni lazima kwanza wawe wamemfuta duniani, katika ukweli, upendo, utii, wakimfuata bila hasira wala kubadilika, lakini kwa ujasiri, uaminifu, kama kondoo wakimfuata mchungaji wao..jpg
掲載元:https://slideplayer.com/slide/16518974/